Nyimbo 10 zilizotafutwa zaidi mtandaoni (google) nchini Ghana kwa mwaka 2017
Mtandao wa google umetoa orodha ya nyimbo 10 zilizotafutwa zaidi katika mtandao huo nchini Ghana kwa mwaka 2017.
- Shatta Wale – Taking Over
- Davido – Fall
- Davido – If
- Shatta Wale – Ayoo
- Kidi – Odo
- Kuami Eugene
- Shatta Wale – Forgetti
- Patapaa Feat Ras Cann – One Corner
- Run Town Mad – Over You
- Davido – Fia
SUBSCRIBE YouTube account yetu upate video zaidi.
Kupata Update kibao, like Facebook account yetu.
Twitter Account yetu>>>Asili Yetu Tanzania