New Video: Eminem Ft. Beyonce – Walk On Water.
Baada ya kuachia kionjo ya wimbo huu mpya, Eminem ameachia video yake aliyomshirikisha Beyonce, japo hakuonekana katika video hii, wimbo unaitwa 'Walk On Water'. Itizame hapo chini>>>
PAKUA NYIMBO ZILIZOTOKA WIKI HII>>>DOWNLOAD
SUBSCRIBE YouTube account yetu upate video zaidi.
Kupata Update kibao, like Facebook account yetu.
Twitter Account yetu>>>Asili Yetu Tanzania
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA