Eminem ametokea juu ya Jarida la Complex.
Album ya 9 ya msanii Eminem ‘Revival‘ imetoka wiki iliyopita na bado yuko katika kuinadi kwa wapenda muziki.
Baada ya msanii Eminem kuonekana katika mahojiano ya Jarida mapema mwezi huu, sasa jarida lingine limemkamata, safari hii ni zamu ya Jarida la Complex la mwanzo wa mwaka 2018. Katika kipindi hicho cha mahojiano, Eminem amemzungumzia Jay Z alivyo muinspire na mengineyo. Tazama video hiyo hapo chini>>>

PAKUA NYIMBO ZILIZOTOKA WIKI HII>>>DOWNLOAD
SUBSCRIBE YouTube account yetu upate video zaidi.
Kupata Update kibao, like Facebook account yetu.
Twitter Account yetu>>>Asili Yetu Tanzania
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA