Header Ads

Breaking News
recent

New Album: Big Sean & Metro Boomin “Double or Nothing”

Msanii kutoka Marekani Big Sean na mwenzake Metro Boomin  wameingia studio na kuchomoa album mpya ya pamoja inayoitwa “Double or Nothing“.

Album hiyo ina nyimbo 10, huku wasanii walioshirikishwa katika album hiyo ni pamoja na Travis Scott, 21 Savage, Young Thug, 2 Chainz na wengineo. Sikiliza vionjo vya nyimbo hizo hapo chini>>> 
PAKUA NYIMBO ZILIZOTOKA WIKI HII>>>DOWNLOAD
SUBSCRIBE YouTube account yetu upate video zaidi.

Kupata Update kibao, like Facebook account yetu.
Twitter Account yetu>>>Asili Yetu Tanzania
 

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.