Morgan Heritage wachaguliwa kuwania tuzo za Grammy
Wasanii nguli wa miondoko ya Reggae duniani maarufu kama Morgan Heritage wameonesha furaha yao baada ya kutajwa kuwania tuzo za '60 Annual
Grammy Awards' zilizopangwa kufanyika January 28, 2018 katika ukumbi wa Madison Square Garden huko New York
City.
Morgan Heritage wamechaguliwa kushiriki tuzo hizo kupitia album yao inayofahamika kwa jiana ‘Avrakedabra’ kama Album bora ya Reggae katika tuzo za Grammy.
Morgan Heritage wamechaguliwa kushiriki tuzo hizo kupitia album yao inayofahamika kwa jiana ‘Avrakedabra’ kama Album bora ya Reggae katika tuzo za Grammy.

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA