Header Ads

Breaking News
recent

Movie ya Aamir Khan "Dangal' yashinda tuzo nchini Australia

Superstar Aamir Khan aliyeigiza kama muigizaji mkuu katika filamu yake ya Dangal, filamu hiyo imetajwa kama filamu bora kutoka barani Asia, huku tuzo hiyo ikitolewa na 7th Australian Academy of Cinema and Television Arts (AACTA) Awards.

PAKUA NYIMBO ZILIZOTOKA WIKI HII>>>DOWNLOAD
SUBSCRIBE YouTube account yetu upate video zaidi.

Kupata Update kibao, like Facebook account yetu.
Twitter Account yetu>>>Asili Yetu Tanzania
  

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.