Irrfan Khan ashinda tuzo ya muigizaji bora wa kiume katika tuzo za 'Star Screen' India
Muigizaji wa filamu kutoka Bollywood India maarufu kama Irrfan Khan ameshinda tuzo ya muigizaji bora wa kiume (Popular Choice) katika tuzo za 'Star Screen' nchini India.
Irrfran amejinyakulia tuzo hiyo kupitia filamu zake mbili zilizoingizwa katika kinyang'anyilo hicho, movie ambazo ni"Qarib Qarib Singlle na Hindi Medium".
Katika shukuran zake Khan alisikika akisema>>> "Nilikuwa katika mstari kwa muda mrefu, na awamu hii ni filamu mbili Qarib Qarib Singlle na Hindi Medium. Nitasherekea hii na ahadi ya Mungu"
PAKUA NYIMBO ZILIZOTOKA WIKI HII>>>DOWNLOAD
SUBSCRIBE YouTube account yetu upate video zaidi.
Kupata Update kibao, like Facebook account yetu.
Twitter Account yetu>>>Asili Yetu Tanzania

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA