Davido na Wizkid wapanda Jukwaa moja na kuimba, haijawahitoke toka 2013.
Wasanii wakubwa nchini Nigeria Wizkid na Davido usiku wa kuamkia leo
Desemba 25, 2017, wamewaacha midomo wazi mashabiki wao ambao tangu mwaka
2013 walikuwa wakiamini kuwa wawili hao wanatofauti kama sio bifu
katika muziki.
Wawili hao jana Desemba 24, 2017, kwenye tamasha la Wizkid The Concert lililoandaliwa na Wizkid, Davido alipanda jukwaani na kutumbuiza pamoja na Wizkid.
Tunasubilia Diamond na Alikiba siku moja wafanye kitu kimoja kama hawa wasanii. Tazama hiyo video hapo chini>>>

PAKUA NYIMBO ZILIZOTOKA WIKI HII>>>DOWNLOAD
SUBSCRIBE YouTube account yetu upate video zaidi.
Kupata Update kibao, like Facebook account yetu.
Twitter Account yetu>>>Asili Yetu Tanzania
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA