Video mpya ya Lil Kim ‘Took Us A Break’
Baada ya juzi kati Lil Kim kumuwakia Nicki Minaj, sasa this time ni Video yake mpya inayoitwa ‘Took Us A Break’, wimbo huu upo kwenye album ya Kim ya kwanza toka mwaka 2005 alipotoa The Naked Truth.
Baada ya wimbo huu inakuja colabo ya Lil Kim na Remy Ma “Wake Me Up,” ambayo humo kachwanwa Nicki Minaj.
PAKUA NYIMBO ZILIZOTOKA WIKI HII>>>DOWNLOADBaada ya wimbo huu inakuja colabo ya Lil Kim na Remy Ma “Wake Me Up,” ambayo humo kachwanwa Nicki Minaj.
SUBSCRIBE YouTube account yetu upate video zaidi.
Kupata Update kibao, like Facebook account yetu.
Twitter Account yetu>>>Asili Yetu Tanzania

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA