Header Ads

Breaking News
recent

The Weekend amemu-unfollow Selena Gomez rasmi Instagram

Picha bado linaendelea na huenda leo staring ameuwawa, ni msumari wa mwisho uliogongewa na mkali The Weeknd, 27, ikiwa ni baada ya yeye kumu unfollow ex wake Selena Gomez, 25, rasmi katika ukurasa wa Instagram.
Hii imekuja baada ya Selena kurudiana na mpenzi wake wa zamani na kuachana na The Weeknd.

Selena ndiye aliyeanza kumu unfollow The Weeknd Instagram, Nov 17, na kama ulikuwa hujui Selena ndiye msanii mwenye followers wengi zaidi (milioni 130) katika mtandao wa Instagram kwa sasa.

PAKUA NYIMBO ZILIZOTOKA WIKI HII>>>DOWNLOAD
SUBSCRIBE YouTube account yetu upate video zaidi.
Kupata Update kibao, like Facebook account yetu.
Twitter Account yetu>>>Asili Yetu Tanzania
 

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.