Faida za Mchai Chai katika chai
Tafiti kadhaa zinaonesha kuwa mchaichai una vichocheo muhimu vinavyoweza
kupambana na athari kadha wa kadha tumboni, kwenye mkojo na hata kwenye
vidonda.
Wengine huamini kuwa mchaichai unaweza kutibu baadhi ya maradhi kama vile homa ya matumbo, matatizo ya ngozi, madhara yanayotokana na ulaji wa chakula chenye uchafu na pia hutibu maradhi ya kichwa na hata misuli.
Hizi ni baadhi ya faida za kunywa chai yenye mchai chai katika mwili wa binadamu.
1. Kuzuia kutapika
2. Kutuliza maumivu ya tumbo
3. Kupunguza makali ya homa.
4. Msaada kwa wenye tatizo la baridi yabisi,
5. Husaidia kusafisha figo
6. Huzuia tatizo la tumbo kuunguruma
7. Husaidia uyeyushaji wa chakula
8. Hupunguza uwezekano wa kupatwa na maumivu mbalimbali ya mwilini.
9. Husaidia kupunguza maumivu kwa kinamama wakati wa hedhi
Chanzo: Bongo 5
PAKUA NYIMBO ZILIZOTOKA WIKI HII>>>DOWNLOAD
SUBSCRIBE YouTube account yetu upate video zaidi. Kupata Update kibao, like Facebook account yetu.
Twitter Account yetu>>>Asili Yetu Tanzania

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA