Sunday, May 25 2025

Header Ads

T-Pain ameachia Album mpya “Oblivion”

Msanii kutoka Marekani maarufu kama T-Pain ameachia Album mpya inayokwenda kwa jina la “Oblivion”, Album hii ina nyimbo 16 akiwa amewashirikisha wasanii kama Wale, Chris Brown, Ty Dolla Sign na wengineo.

T-Pain aliachia album ya Revolver na toka hapo alikuwa kimia kwa upande wa kudondosha album sokoni.

PAKUA NYIMBO ZILIZOTOKA WIKI HII>>>DOWNLOAD
SUBSCRIBE YouTube account yetu upate video zaidi.
Kupata Update kibao, like Facebook account yetu.
Twitter Account yetu>>>Asili Yetu Tanzania
 

Leave a Comment

Powered by Blogger.