Header Ads

Breaking News
recent

Selena Gomez akutana na shabiki ake mdogo na kuamua kumsomea kitabu

Bila shaka Selena Gomez, 25, ni msanii anayetenga muda kwa mashabiki wake, this time akiwa maeneo ya michezo ya Burbank, CA, alikutana na shabiki yake ambaye ni mtoto mdogo, na kuamua kukaa naye na kumsomea kitabu.
Inasemekana tukio hili limefanyika siku moja na siku ambayo Selena aliachia video ya wimbo wake wa 'Wolves' aliomshirikisha Marshmello.

PAKUA NYIMBO ZILIZOTOKA WIKI HII>>>DOWNLOAD
SUBSCRIBE YouTube account yetu upate video zaidi.

Kupata Update kibao, like Facebook account yetu.
Twitter Account yetu>>>Asili Yetu Tanzania
 

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.