Header Ads

Breaking News
recent

Album Mpya ya Eminem 'Revival' yasemekana kuachiwa tarehe hii

Staa wa kitambo katika game la muziki wa hip hop na mshindi wa tuzo mbalimbali, Eminem baada ya kusemekana kupanga kuchia album yake ya muziki ' Revival' mwezi Novemba 18 ikashindikana, sasa album hiyo inasemekana itaachiwa Novemba 30.

Kama ulikosa kuisikia ngoma ya Eminem “Walk On Water” aliyomshirikisha Beyonce, ambayo pia inatoka katika album yake mpya, isikilize hapo chini>>>

PAKUA NYIMBO ZILIZOTOKA WIKI HII>>>DOWNLOAD
SUBSCRIBE YouTube account yetu upate video zaidi.
Kupata Update kibao, like Facebook account yetu.
Twitter Account yetu>>>Asili Yetu Tanzania
  

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.