Header Ads

Breaking News
recent

Album Mpya: Uncle Murda “Don’t Come Outside, Vol. 1”

Msanii wa miondoko ya hip hop maarufu kama Uncle Murda amerejea tena katika muziki na kudondosha kazi mpya inayoitwa “Don’t Come Outside, Vol. 1”

Album hii inanyimbo 14 ambazo amewashirikisha wasanii kama 50 Cent, Jadakiss, Dave East, Don Q, Maino na wengine wengi.

PAKUA NYIMBO ZILIZOTOKA WIKI HII>>>DOWNLOAD
SUBSCRIBE YouTube account yetu upate video zaidi.
Kupata Update kibao, like Facebook account yetu.
Twitter Account yetu>>>Asili Yetu Tanzania
  

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.