Selena Gomez huenda akarudisha penzi kwa Justin Bieber?
![]() |
| Hii picha ni ya kipindi cha mwanzo wakati wakiwa wapenzi |
Kwa mujibu wa TMZ wapenzi hao wa zamani, hawajarudiana bali walikutana tu kwasababu, Selena aliwaarika marafiki zake ili kuwaelezea tukio alilopitia wakati wa kubadirishiwa figo siku za hivi karibuni. Inasemekana Selena aliwasiri na gari hilo hapo juu.
Na baada ya dakika 10 Justin Bieber aliwasiri na Wagon nyeupe hapo juu pichani. Selena bado ni mpenzi wa The Weeknd na inasemekana jamaa alikuwa anajua kutokea kwa tukio hilo na hakuwepo kwasababu alikuwa katika ziara ya muziki, so hapana neno mbaayaa!
![]() |
| Picha hii niyakipindi cha nyuma |
![]() |
| Picha hii ni ya kipindi cha mwanzo |
![]() |
| Picha hii ni ya kipindi cha mwanzo |
![]() |
| Picha hii ni ya kipindi cha mwanzo |
SUBSCRIBE YouTube account yetu upate video zaidi.
Kupata Update kibao, like Facebook account yetu.
Twitter Account yetu>>>Asili Yetu Tanzania







No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA