Header Ads

Breaking News
recent

Picha mpya ya Kourtney Kardashian ni hatari, huku tetesi za baba mtoto wake akisemekana kukolea kwingine

Kourtney Kardashian, 38, kupitia ukurasa wa mtandao wake wa Instagram wenye mashabiki milioni 59, ameachia picha mpya.

Koutney ameonekana amesimama pembeni ya Tax moja ya New York akiwa ametupia kinguo kifupi cheusi na bila shaka hakutupia nguo ya ndani.

Kwa stori zilizopo hivi sasa, inasemekana Baba mtoto wa Koutney,
Scott Disick, 33, amekufa ameoza kwa mwanadada Sofia Richie, 19, na anataka kutupia pete katika kidole cha mkono wa kushoto.

PAKUA NYIMBO ZILIZOTOKA WIKI HII>>>DOWNLOAD
SUBSCRIBE YouTube account yetu upate video zaidi.

Kupata Update kibao, like Facebook account yetu.
Twitter Account yetu>>>Asili Yetu Tanzania
   

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.