Header Ads

Breaking News
recent

Movies ya 'Judwaa 2' ya maliza wiki ya kwanza kwa mafanikio makubwa

Filamu ya Judwaa 2 baada ya kutoka juzi kati, sasa imemaliza wiki ya kwanza kwa mafanikio mazuri sana, je wiki nyingine mbele itaendelea kunya vizuri?

Majibu nitakujuza hapa hapa kwenye Blog bora na pendwa kama ulikuwa huna habari hii.

Fahamu pia filamu hii imetajwa kufanya poa katika wiki ya kwanza baada ya zile filamu kama Dilwale, Badrinath Ki Dulhania na ABCD 2 ambazo nazo zilifanya poa katika wiki ya kwanza. 

Judwaa 2 imechezwa na wakali kama Varun Dhawan (starring), Jacqueline Fernandez na Taapsee Pannu.

 SUBSCRIBE YouTube account yetu upate video zaidi. 

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.