Mchekeshaji Rusell Brand bado analikumbuka penzi la Katy Perry
Mapenzi ya wanandoa hayaishagi, basi tu mambo hubadilika na kujikuta wanatengana, lakini lazima utakuta kuna kitu flani kizuri kula mmoja huwanacho kwa mwenzake. Sasa kwa Russell Brand ameipatia maneno haya ndoa yake ya zamani na Katy Perry a “very, very wonderful time”.
Mchekeshaji Russell Brand, 42, alifunga ndoa na staa wa single ya Swish Swish, Katy mwaka 2010, lakini baada ya miezi 14 walitarakiana na kuachana, huku Katy akiingia kwenye mahusiano mapya na Orlando Bloom huku Russell nae akifurahia ndoa mpya na Laura Gallacher, ambaye ni mama wa binti yake Mabel.
Japokuwa ndoa ya kwanza ya Russell haikudumu, hii haimzuii kitu kukumbuka mazuri ya ndoa yake na msanii wa muziki Katy Perry.
Unaweza kutizama mahojiano yake na Wendy hapo chini>>>>
SUBSCRIBE YouTube account yetu upate video zaidi.

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA