Header Ads

Breaking News
recent

Mbunge wa Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu atangaza kujivua Ubunge

Kwa stori zilizoenea hadi sasa mitandaoni na vyombo vya habari ni kwamba Mbunge wa Singida Kaskazini, Mh. Lazaro Nyalandu ametangaza kujivua Ubunge na nyadhifa nyinginezo.

Kupitia ukurasa wake wa Twitter Mh. Nyalandu ameonekana kuweka ujumbe huu>>>

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.