Lewis Hamilton atwaa ubingwa wa dunia katika mbio za magari
Dereva Lewis Hamilton amefanikiwa
kushinda taji la nne la dunia katika michuano ya Mexico grand prix licha
ya kumaliza akiwa nafasi ya tisa baada kugongana na Sebastian Vettel.
Anaungana na Vettel na mfaransa Alain Prost wenye vikombe vinne.
Aligongana na Vettel wakati walipokuwa wakijaribu kupishana katika kona.
PAKUA NYIMBO ZILIZOTOKA WIKI HII>>>DOWNLOAD
SUBSCRIBE YouTube account yetu upate video zaidi.
Kupata Update kibao, like Facebook account yetu.
Twitter Account yetu>>>Asili Yetu Tanzania
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA