Justin Bieber na Selena Gomez waonekana tena wakipata kifungua kinywa pamoja
Octoba 29, Justin Bieber, 23, na Selena Gomez, 25, kwa mara nyingine tena leo wameonekana wakipata kifungua kinywa pamoja huku wakionekana kupiga stori moto moto maeneo flani hivi ya Westlake Village, huku The Weeknd kwa mara nyingine akiwa hayupo.
Hii inakuwa mara ya tatu wawili hawa kuonekana pamoja kwa siku zinazofuatana. Je hii inatoa taswira gani katika mahusiano hawa wapenzi wa zamani?
PAKUA NYIMBO ZILIZOTOKA WIKI HII>>>DOWNLOAD
SUBSCRIBE YouTube account yetu upate video zaidi.
Kupata Update kibao, like Facebook account yetu.
Twitter Account yetu>>>Asili Yetu Tanzania

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA