Header Ads

Breaking News
recent

Filamu mpya ya Salman Khan 'Tiger Zinda Hai' kutingisha Bollywood

Salman Khan ndiye staa kutoka Bollywood anayeongoza katika orodha ya filamu zinazofanya vizuri katika tasnia ya filamu India. Sasa kuna hii filamu yake mpya ya 'Tiger Zinda Hai' ambayo amekuwa bize akiitengeneza huku ikionekana kuteka hisia za wengi.
Kumekuwa na uficho flani hivi wa tarehe halisi ya kuachiwa kwa filamu hii, japo wataalamu wa filamu nchini humo wanakisia Teaser au kionjo cha filamu hii kitaachiwa kati ya tarehe 15th hadi 18th November.
 
SUBSCRIBE YouTube account yetu upate video zaidi.  

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.