Header Ads

Breaking News
recent

Vanessa Mdee kuwania tuzo kubwa 5 za muziki

Msanii wa muziki Bongo, Vanessa Mdee yupo mbioni kuanza safari ya kuwania tuzo tano tofauti za kimataifa.

Vanessa anawania tuzo zifuatazo;  AFRIMMA katika kipengele cha Best Female East Africa, AFRIMA katika kipengele cha Best Female Artiste in Eastern Africa, EA Awards katika kipengele cha Best Female Africa Artist.

Pia  anawania tuzo za Nigerian Entertainment Awards (NEA) katika kipengele cha Best Africa Female Artist (Non-Nigerian) na Africa Entertainment Awards (AEA) za Marekani katika kipengele cha Best International African Female Artist na Best International Artist.

Ieleweke kuwa tuzo hizo zitatolewa kwa wakati tofauti ila ya kwanza ndio October 9, 2017

Vanessa Mdee kwa sasa anafanya vizuri na ngoma ‘Kisela’  ambayo amemshirikisha Mr. P (P square) kutoka nchini Nigeria.
Srori na Bongo5.com

SUBSCRIBE YouTube account yetu upate video zaidi. 

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.