Fahamu Jinsi ya kufuga kuku wa kienyeji kwa faida kubwa
Huenda ukawa wewe ni mmoja ya wale wasiochezea fursa na umekuwa na kiu ya kutaka kupata elimu ya jinsi ya kufuga kuku wa kienyeji.
Reporter wetu Stanley Lema kutoka Arusha amepiga stori na mtaalamu kutoka Jilala Agrovate Arusha, 'Asanteeli E. Mbisse', msikilize hapa akueleze jinsi ya kuanza ufugaji wa faida kwa kuku wa kienyeji.

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA