Msanii mkongwe wa Muziki, Z Anto ameingia studio na kurekodi wimbo
maalumu kwaajili ya kumuombea afya njema Mbunge wa Singida kupitia
tiketi ya Chadema, Tundu Lissu aliyelazwa nchini Kenya>>>
Audio: Z Anto atoa wimbo kwaajili ya Tundu Lissu - 'Tumuombee Lissu' mp3
Reviewed by
KISHINDO TZ
on
Monday, September 11, 2017
Rating:
5
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA