Header Ads

Breaking News
recent

Album Mpya ya msanii Nicki Minaj

Huenda wewe ukawa ni shabiki mzuri wa msanii wa miondoko ya rap kutoka Marekani maarufu kama Nicki Minaj, sasa kwa taarifa zilizopo kwa sasa ni ujio mpya wa album ya msanii huyu.

Nicki amenukuliwa akijigamba kwa mashabiki wake kuwa, album yake ya nne iko tayari na itakuwa moto wa kuotea mbali>>>

“I love you and I adore you. Oh, the album. Oh my God! The album is so f***’ good!,” Nicki amewaambia mashabiki wake.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.