Header Ads

Breaking News
recent

Washindi wote wa tuzo za MTV za 34, Kendrick Lamar aongoza.

Hatimae tuzo za kila mwaka za wasanii duniani MTV na tuzo za 34 zimemalizika huko Los Angeles Marekani ambapo ugawaji wa tuzo hizo umefanyika Alfajiri ya kuamkia leo, huku wasanii wakiweka rekodi katika tuzo hizo.

  Kendrick Lamar ni rapa mwenye mafanikio katika muziki wa hip hop amekuwa akionekana kuwa rapa bora katika tuzo mbali mbali za muziki duniani, na mwaka huu wa 2017 katika tuzo za 34 za MTV 2017, Kendrick, 30, amefanikiwa kunyakua tuzo sita kati ya nafasi nane alizokuwa amechaguliwa kushindania.

Hii ndiyo orodha ya walioshinda:

VIDEO OF THE YEAR:
Kendrick Lamar – “HUMBLE.”

ARTIST OF THE YEAR:

Ed Sheera

BEST NEW ARTIST:
Khalid

BEST COLLABORATION:

Zayn & Taylor Swift – “I Don’t Wanna Live Forever (Fifty Shades Darker)”

BEST POP:

Fifth Harmony ft. Gucci Mane – “Down”

BEST HIP HOP:

Kendrick Lamar – “HUMBLE.”

BEST DANCE:

Zedd and Alessia Cara – “Stay”

BEST ROCK:

Twenty One Pilots – “Heavydirtysoul”

BEST FIGHT AGAINST THE SYSTEM:

Logic ft. Damian Lemar Hudson – “Black SpiderMan”
The Hamilton Mixtape – “Immigrants (We Get the Job Done)”
Big Sean – “Light”
Alessia Cara – “Scars To Your Beautiful”
Taboo ft. Shailene Woodley – “Stand Up / Stand N Rock #NoDAPL”
John Legend – “Surefire”

SONG OF SUMMER:
XO Tour Llif3 – Lil Uzi Vert

BEST CINEMATOGRAPHY:

Kendrick Lamar – “HUMBLE.” (Cinematographer: Scott Cunningham)

BEST DIRECTION:

Kendrick Lamar – “HUMBLE.” (Directors: Dave Meyers, The Little Homies)

BEST ART DIRECTION:

Kendrick Lamar – “HUMBLE.” (Production Designer: Spencer Graves)

BEST VISUAL EFFECTS:

Kendrick Lamar – “HUMBLE.” (Company: Timber/Lead: Jonah Hall)

BEST CHOREOGRAPHY:

Kanye West – “Fade” (Choreographers: Jae Blaze, Guapo, Matthew Pasterisa, Teyana Taylor & Derek Watkins)

BEST EDITING:

Young Thug – “Wyclef Jean” (Editors: Ryan Staake, Eric Degliomini)

Na Laila Sued

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.