Video ya ROMA - 'Zimbabwe'.
Roma hivi karibuni ameachia wimbo wake mpya wa 'Zimbabwe' ambao umeibua
hisia kwa wengii, kwa kuelezea tukio zima la utekwaji wake ulivyokuwa.
Wimbo ambao mpaka sasa umeweza kutazamwa na watu zaidi ya milioni moja
na kitu ndani ya wiki moja.

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA