Header Ads

Breaking News
recent

PICHA: Rais Mstaafu Dkt Jakaya Kikwete avuna mavuno mazuri ya mahindi shambani kwake.

Rais Mstaafu wa awamu ya nne, Dkt Jakaya Mrisho Kikwete yuko katika msimu wa mavuno ambapo amekuwa akitujuza mengi kupitia picha katika mtandao wake wa kijamii hatua anazokua akifikia katika kilimo.

Dkt Kikwete ametweet kupitia ukurasa wake wa Tweeter>>>"Shughuli ya mavuno inaendelea leo Msoga. Fahari ya mkulima ni mavuno. Ukivuna vizuri, inakupa moyo kulima msimu ujao".
Hakika jembe halimtupi mkulima na jasiri haachi asili, Dkt Kikwete ni mfano wa kuigwa katika kilimo.
Unaweza kubonyeza hapa kwa picha zaidi (PICHA ZA MAVUNO).

Endelea kufuatilia dondoo kibao za KITOFAUTI duniani kupitia blog yetu ya ASILI YETU TANZANIA. Pia subscribe You Tube account yetu  kupata update kibao. 

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.