Naj alikua na ukimya mrefu kidogo kwenye Bongofleva,
hakutoa ngoma wala video kwa muda kidogo lakini sasa amerudi kwenye TV
na Radio kwa mara nyingine na hii mpya inaitwa ‘Utanielewa’ ambayo inazidi kusogea
juu kwenye chati ya video 50 zinazotazamwa sana Tanzania kwa sasa….
Video ya 'Naji' - 'Utanielewa'.
Reviewed by KISHINDO TZ
on
Thursday, August 03, 2017
Rating: 5
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA