Patoranking kutoka Nigeria ameachia video ya wimbo wake ‘This Kind Love’
aliomshirikisha WizKid. Video ya wimbo huo ambao unapatikana katika
albamu yake ‘God Over Everything’ umeongozwa na Clarence Peters.
Video: Patoranking Ft Wizykid - "This Kind Love".
Reviewed by KISHINDO TZ
on
Monday, August 07, 2017
Rating: 5
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA