Royality Mtoto wa msanii Chris Brown atambulisha bidhaa zake, Vipodozi na Nguo.
Mtoto wa kwanza wa Chris Brown,Royalty mwenye umri
wa miaka 3 anafata nyayo za Baba yake, ambapo kupitia wazazi wake mtoto
huyu maarufu ametambulisha bidha zake za nguo na vipodozi kwaajili ya
watoto wa jinsia zote.
Nguo hizo zitakuwa na muonekano wa rangi tofauti, magauni na vipodozi
kwaajili ya watoto wanaopenda kutoka na kupendeza, mama wa Royalty, Nia
Guzman anasaidia pia.


No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA