Video: Diamond Platnumz na timu ya WCB wameachia wimbo mpya - 'Zilipendwa'
Wasanii wanaofanya kazi chini ya lebo ya muziki ya WCB Wasafi, pamoja na
boss wa lebo hiyo Diamond Platnumz na wasanii wake Rayvanny, Harmonize ,
,Lavalava , Queen Darleen, Rich Mavoko na msanii wa zamani wa Yamoto
Band Marombosso ‘Mbosso’, wameachia video mpya ya wimbo unaitwa
‘Zilipendwa'....
Utazame hapo chini na tupe maoni yako>>>

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA