Header Ads

Breaking News
recent

Picha: Muonekano mpya wa msanii Selena Gomes

Star wa ngoma ya 'Fetish' Selena Gomez wiki hii kupitia kwa Makeup arts wake Hung Vanngo aliyetupia picha mpya  kwenye Instagram yake, ameonekana kukonga nyoyo za mashabiki wake kwa amazing new style makeup yake.
Selena Gomez, 25, anayeendelea kukua kisanii na kuendelea kuwateka mashabiki wengi duniani kote, kwa sasa katika upande wa mahusiano yupo na boyfriend wake  The Weekend, 27, huku majuzi wameonekana wakila bata Los Angeles.

Selena pia ni msani mwenye followers wengi, Instagram ana followers milioni 125. Sta huyu pia ni kati ya mashabiki huena na rafiki wa msanii ambaye sasa anatama na single mpya ya 'Look What You Made Me Do' na mzungumzia Tylor Swift.
Endelea kufuatilia dondoo kibao za KITOFAUTI duniani kupitia blog yetu ya ASILI YETU TANZANIA. Pia subscribe You Tube account yetu  kupata update kibao. 

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.