Header Ads

Breaking News
recent

Selena Gomez amuunga mkono Tylor Swift katika ujio wa Album yake mpya ya 'Reputation'

Selena Gomez ni mmoja kati ya wasanii wenye followers wengi dudiani katika mitandao ya kijamii, lakini pia kama hujui Selena ni shabiki mzuri wa muziki wa Tylor Swift.

Baada ya usiku wa kuamkia leo Ty kuachia wimbo wake unaoitwa ‘Look What You Made Me Do’ukiambatana na jina la album mpya inayofuata 'Reputation', msanii Selena ameonekana kuwa mwenye furaha kulingana na chanzo cha karibu na msanii huyo.

“Selena is looking forward to Taylor getting a lot off her chest with her new music. Selena knows that nobody can write better than Taylor, and she wonders if Tay will be defending her reputation on the album.”

Tylor kwa kipindi cha nyuma amekua katika wakati mgumu baada ya kuachana na mpenzi wake 'Calvin Harris, 33, na Tom Hiddleston, 36, na ishu ya Kim Kardashian, 36, na Kanye West, 40.

Endelea kufuatilia dondoo kibao za KITOFAUTI duniani kupitia blog yetu ya ASILI YETU TANZANIA. Pia subscribe You Tube account yetu  kupata update kibao.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.