Picha Mpya za Nicki Minaj ni hatari tupu!!
Nicki Minaj ni moja kati ya wasanii wa kike wenye mvuto mrefu ukiachia mbali umahiri wake wa sanaa ya muziki wa rap.

Juzi kati katika tuzo za MTV 2017 Nicki alidress to kill kwenye red Capet.
Anyway hizi ni baadhi ya mitoko yake tu inayotrend kwa sasa katika mitandao mikubwa duniani.
Endelea kufuatilia dondoo kibao za KITOFAUTI duniani kupitia blog yetu ya ASILI YETU TANZANIA. Pia subscribe You Tube account yetu kupata update kibao.






No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA