Diamond achopost Instagram muda mfupi baada ya Alikiba kuachia wimbo wake
Muda mfupi baada ya mwimbaji staa Alikiba kuachia video ya wimbo wake
mpya ‘Seduce Me’ leo August 25, 2017, Staa wa Bongofleva
kutokea WCB, Diamond Platnumz anayetamba na wimbo wake wa 'Eneka', amepost katika ukurasa wake wa Instagram mtu akicheka na kutafsiriwa na mashabiki huwenda huo ni ujumbe baada ya
kuusikia wimbo wa Alikiba.
Endelea kufuatilia dondoo kibao za KITOFAUTI duniani kupitia blog yetu ya ASILI YETU TANZANIA. Pia subscribe You Tube account yetu kupata update kibao.

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA