Diamond Platnumz ameendelea kuachia ngoma mfululizo kwa mashabiki wake ndani na nje ya Tanzania.
Staa huyo
kutoka WCB ameachia wimbo wake mpya unaoitwa ‘Eneka’ ambao mdundo wake
umetayarishwa na producer Lizer kutoka Studio za Wasafi Records.
Usikilize hapa chini.
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA