Video ya Ben Pol Ft. Darasa - 'Tatu' iko hapa.
Gumzo lake lilianzia baada ya kufuta picha zote kwenye Instagram yake
na kisha kupost picha chache akiwa bila nguo na mwili wake ukionekana
umeng’aa baada ya kupakwa mafuta ambapo alipoulizwa alisema ni wimbo
mpya unakuja unaitwa ‘tatu‘.
Sasa leo Ben Pol ndio ameachia video yake 'Tatu' aliomshirikisha Darasa, unaweza kuitazama hapa chini>>>
Sasa leo Ben Pol ndio ameachia video yake 'Tatu' aliomshirikisha Darasa, unaweza kuitazama hapa chini>>>
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA