China yatajwa kuwa ya kwanza kwa idadi ya watu duniani 2017.
Ripoti ya Umoja wa Mataifa iliyotolewa na idara ya uchumi na masuala ya
kijamii ya shirika la kushughulikia idadi ya watu duniani katika umoja
huo.
China hivi sasa ndiyo inaongoza kwa kuwa na idadi kubwa ya watu ikiwa na watu bilioni 1.4, ikifuatiwa na India yenye watu bilioni 1.3. Ifikapo 2024, India inatarajiwa kuipiku China.
Kwa mujibu wa ripoti hiyo inasema uzazi umepungua kwa takriban kila eneo katika kipindi cha miaka ya hivi karibuni, huku watu milioni 83 wanazaliwa duniani kila mwaka.

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA