Kupitia ukurasa wake wa Twitter leo May 17, 2017 Rais mtaafu wa awamu ya nne Mh. Dr Jakaya Mrisho Kikwete, ameweka picha tatu zikimuonesha akiwa shambani, na kuweka ujumbe huu.....
"Mapumzikoni kijijini Msoga, tukiendelea na shughuli za kilimo".
Picha 3 zinazomuonesha Rais mtaafu Dr. Jakaya Kikwete akiwa shambani.
Reviewed by
KISHINDO TZ
on
Wednesday, May 17, 2017
Rating:
5
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA