Wimbo mpya wa Ney wa Mitego - "Wapo". 'Download mp3
Baada ya msanii Ney wa Mitego kuachia ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina WAPO, kunaharakati nyingi zimeonekana hapo kati, ikiwa ni pamoja na kukamatwa na polisi na wimbo wimbo kufungiwa na BASATA.
Lakini waziri mwenye dhamana mh.Dk. Mwakyembe leo amefanya maamuzi juu ya wimbo wa WAPO.
Waziri Mwakyembe ameishauri pia BASATA kuondoa zuio lake dhidi ya wimbo wa ‘WAPO’ na badala yake uendelee kupigwa tu kama nyimbo nyingine.
Akiongea na Wandishi wa Habari Dodoma, Dk. Mwakyembe amesema hata Rais Magufuli amefurahishwa na wimbo huo wa WAPO na kumshauri Msanii huyo kama inawezekana aendelee kutaja watu wengine kama vile wakwepa Kodi, wauza Unga, wanaotumia dawa za kulevya pamoja na watu wengine wasio na maadili mema katika jamii.
Unaweza kuusikiliza wimbo huo hapo chini.......

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA