Rais Magufuli ampongeza Diamond Platnumz kwa njia ya simu Clouds TV.
Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli
amempigia simu Diamond Platnumz wakati akihojiwa Jumanne hii kwenye
kipindi cha 360 cha Clouds TV.
Chukua nafasi hii kusikiliza mpango mzima ulivyokuwa.......
Chukua nafasi hii kusikiliza mpango mzima ulivyokuwa.......
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA