New Audio: Maua Sama - "Main Chick". mp3
Msanii mkali wa miondoko ya muziki wa kizazi kipya, muite Maua Sama
baada ya kufanya vizuri na kazi zake nyingi zilizotamba kama Mahaba
Niuwe, Sisikii, sasa ameachia kazi yake mpya hii hapa inaitwa “Main Chick”.
Sikiliza hapa wimbo wake mpya.....
Sikiliza hapa wimbo wake mpya.....
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA