Msanii maarufu Uingereza, Adele aweka wazi mahusiano yake ya ndoa.
Msanii maarufu wa Uingereza Adele hatimaye ameweka bayana kwamba
ameolewa na Simon Konecki wakati alipokuwa akitumbuiza, mjini Brisbane
Australia.
Wawili hao wamejaliwa mtoto mmoja wa miaka 4 kwa jina Angelo
Awali.
Kumekuwa na uvumi kwamba wawili hao walioana na kwamba Adele alimtaja kuwa mumewe katika tuzo za Grammy.
Wawili hao wamejaliwa mtoto mmoja wa miaka 4 kwa jina Angelo
Awali.
Kumekuwa na uvumi kwamba wawili hao walioana na kwamba Adele alimtaja kuwa mumewe katika tuzo za Grammy.
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA