Uchumi wa Zimbabwe waongezeka kwa asilimia 0.4 mwaka jana
Benki
ya Dunia imesema kutokana na athari ya ukame, na kupunguza matumizi ya
jumla ya fedha, ongezeko la uchumi la Zimbabwe kwa mwaka 2016
liliongezeka kwa asilimia 0.4 tu, ambalo ni la chini zaidi kuanzia mwaka
2009.
Ripoti iliyotolewa na Benki hiyo katika kipindi kipya cha mustakabali wa uchumi wa dunia imekadiria kuwa, uchumi wa Zimbabwe utaongezeka kwa asilimia 3.8 mwaka huu, lakini serikali ya Zimbabwe ilikadiria kuwa uchumi wake utaongezeka kwa asilimia 1.7 tu.

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA