Top 10 ya hotel za ghali kulala duniani kwa mwaka 2017.
![]() |
10. BURJ AL ARAB - DUBAI at $17,500 kwa usiku mmoja tu. |
9. HOTEL PLAZA
ATHENÈE - FRANCE kwa $27,000 kwa usiku mmoja tu.
![]() |
Hotel inapatikana Ufaransa katika mji wa Paris |
7. GRAND HYATT
CANNES HOTEL MARTINEZ - CANNES, FRANCE kwa $35,700 kwa usiku mmoja tu.
6. GRAND RESORT
LAGONISSI ROYAL VILLA - ATHENS, GREECE kwa $40,000 kwa usiku mmoja tu.
5. LAUCALA ISLAND
RESORT HILLTOP ESTATE kwa $40,000 kwa usiku mmoja tu.
4. RAJ PALACE
HOTEL-PRESIDENTIAL SUITE, JAIPUR kwa $43,000 kwa usiku mmoja tu.
![]() |
Hotel hii ya kifahari inapatikana nchini India, ambapo majengo haya yanasemekana kuwa na karne 2.5 na majengo haya yalijengwa mwaka 1727, hadi sasa hotel hii imekwisha tunukiwa tuzo kem kem. |
3. FOUR SEASONS
HOTEL, NEW YORK kwa $50,000 kwa usiku mmoja tu.
2. HOTEL PRESIDENT
WILSON, GENEVA, SWITZERLAND kwa $65,000 kwa usiku mmoja tu.
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA