New song: AY Ft. Nyashinski - "More and More". mp3
Mwaka huu 2017 mwanzoni msanii wa kitambo katika gemu la muziki wa kizazi kipya Ambwene Yesaya a.ka AY anaachia kazi mpya na ya kwanza iitwayo More and More ambamo amemshirikisha staa wa Kenya, Nyashinski.
Ngoma imetayarishwa kwa ushirikiano wa Drey Beatz na Hermy B.
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA