Mtoto wa Ray Kigosi na Chuchu Hans.
Jaden ni mtoto wa Ray
Kigosi na Chuchu Hans aliyezaliwa wiki hii tayari amefunguliwa
akaunti yake kwenye mtandao wa Instagram. Account yake inasimamiwa na mama yake kama ilivyo ya Tiffah
na Nillan, amewafollow wazazi wake tu.
Katika kufurahia zawadi ya mtoto, Ray ameendelea kuweka wazi furaha yake kwa kuandika.....
Nikikuangalia
Mwanangu Jaden Nakuwa Na Furaha Isiyo Kifani Na Kunipa Nguvu Ya
Kupambana Na Maisha Ili Uishi Vizuri.. Mtoto ana Raha Yake Jamani
asikwambie mtu Nyie Puyangeni Tu.
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA